Kijito Cha Utakaso by Diana Sarakikya full Lyrics and Video

Song Title: Kijito Cha Utakaso

Author: Diana Sarakikya

Language: Swahili

 

Kijito Cha Utakaso full Lyrics

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu,
Bwana anao uwezo kunipa wokovu

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Viumbe vipya naona damu ina nguvu,
Imeharibu uovu ulionidhulumu

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Ni neema ya ajabu kupakwa na damu
Na Bwana Yesu kumjua Yesu wa msalaba

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso
Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Video